Gere
by Tanasha Donna, Diamond Platnumz
Lyrics : Diamond Platnumz/Tanasha Donna Music : Diamond Platnumz/Tanasha Donna Zigila parapampapa Donna na Chibude Oh, yeah It's Platnumz Eh, ati unapenda kuni Kikupa mpaka morning Nikipekenya pekenya Nisiwahi nichelewe Kikuchum mdomoni Touchi touchi kiunoni Mi natekenya tekenya Nakufanya ulewe Ooh you are my sweet chocolate monster Sorry I contemplate on that And baby you'd better ride for me And show me that you are mine Oh oh I'ma go downtime for you Call you king put a crown on you And baby take your time with me Let's flow like river Nile Hapa, asa show me ile kitu amekupa mama Hebu chutama kama inazama Nikupige chenga kwa dana dana Tuwafunge kelele, aiyayaya Jioni usiku mchana, jua likizama Tuanza kandana Nikuonyeshe kile amenipa mama So wafunge kelele Maana wanaona Wanaona gere, wanaona gere Wanaona gere Wanaona ge, wanaona ge, ge ge ge Wanaona gere, wanaona gere Wanaona gere Wanaona ge, wanaona ge, ge ge ge Don't you ever leave me solo Or disappoint me with this basic hoe You make my mind go loko loko Utawapa misemo wa noko noko And you better tell them that you‘re mine Better be my ride or die Kabla ya kuwika jogoo Asubuhi niamshe na kimoko Eeeh, mama kasema mwali mwana Nimepata nitulie Simba Oh nitulie Simba Oh nitulie Simba Zile chenga vidanga dana Vicheche nichunie Simba Oh nichunie Simba Oh nichunie Asa baby ebu show me Ile kitu amekupa mama Hebu chutama kama inazama Nikupige chenga kwa danadana Tuwafunge kelele aiyayaya Jioni usiku mchana, jua likizama Tuanza kandana Nikuonyeshe kile amenipa mama Si wafunge kelele Maana wanaona Wanaona gere, wanaona gere Wanaona gere Wanaona ge, wanaona ge, ge ge ge Wanaona gere, wanaona gere Wanaona gere Wanaona ge, wanaona ge, ge ge ge Asa baby nikomeshe Kati, katika, kata Kati, kati, katika (kata) Donna katika (kata) Oh baby katika (kata) When you hold on to me (kata) When you follow my lead (kata) Moving side to side baby (kata) Oh kati (kata)
Share these lyrics
1
La vie
02:53
View Lyrics
2
Na Wewe (Avec Toi)
03:18
View Lyrics
3
Kalypso (feat. Khaligraph Jones)
03:33
View Lyrics
4
Te amo
02:45
View Lyrics
5
Maradonna
03:33
View Lyrics
6
Sawa
03:23
View Lyrics
7
Ride
03:27
View Lyrics
8
Numero Uno (feat. Tanasha Donna)
04:11
View Lyrics
9
Mood
02:56
View Lyrics
10
Gere
03:42
View Lyrics