Hazipo
by Nandy
Lyrics : Nandy Music : Faustina Nandera Charles Mfinanga Yeah aah aah aahaah mmh Uzuri wako mashallah na macho yako ndo balaa Sauti yako noma sana na mwendo wako ndo balaa Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Me hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye Stimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah Sijitamani nifikirie sana aaaah Usinipe maruani me moyo utaamaa na mashetani yanapenda kwa manaa aaah Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Me hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo Oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo Mwenzio mie hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo ooh yeah Hazipo ooh yeah Hazipo ooh oh wee
Share these lyrics