Sugarcane (feat. G Nako and Tommy Flavour)
by Jux, GNako, Tommy Flavour
Lyrics : Jux Music : Jux/S2kizzy Intro: Ahhh Mmmh, Mmmh S2Kizzy Baby (Aah) Verse: Jux Nasema njoo njoo my boo Nikupe kipendacho roho (Yeye) Umenivuruga i’m so full Niskize mimi nikupe show (oonaa) Come come nikupe tamu tamu Tupeane zamu zamu Nateseka na love love I love the way you shake Njoo ghetto turest Lemme test, ni balaa Wana maneno shombo ni kinyaa Mahaba niuwe kishujaa Kwenye shida na raha Vile utakavyo mi nafaa Mlimbwende we ni kifaa I feel so good the way you do Nimenogewa nawe nipe tena round two All eyes on you Nataka niwe nawe tu baby Chorus: Tommy Flavour Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Verse: Jux Sito kuchezea mama tutadumu Kulinda penzi lako kwangu ni jukumu Wapoteze watakupa sumu Kisha tugombane mama una humu Mapenzi matamu yako magumu Sitaki nikosee kesho unihukumu Mapenzi yote weka humu humu Usije nipiga chini nitakunywa sumu gal Nishakuwa na wengi ilaa Wewe umeniweza Sioni mwingine zaidi ya wewe Chorus: Tommy Flavour Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them (Sugarcane Beibe) Bridge: G-Nako Kamua kamua, Kamua kamua. Kamua kamua, Kamua kamua. Verse: G-Nako Chumba kama murder scene(murder scene) Ugonjwa wangu nipe medicine(medicine) Napack kucha I wanna again(Aahaa) Nikusambaratishe bila deni(Aahaa) Nibadilishie angle girl (gal) Mali yangu sio magendo girl (gal) Mjengo mpya sisi wageni Ila majirani they know my name(my name babe) Rock your body(rock) Rock your body Chorus: Tommy Flavour Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them Lemmi be your sugarcane Sweeter than them
Share these lyrics
1
Enjoy
03:36
View Lyrics
2
Nitasubiri
04:37
View Lyrics
3
One More Night
03:04
View Lyrics
4
Sisiki
03:43
View Lyrics
5
In Case You Don't Know (feat. Nyashinski)
03:30
View Lyrics
6
Sumaku (feat. Vanessa Mdee)
03:22
View Lyrics
7
Mtu 3
03:57
View Lyrics
8
Kinoma Noma Feat Jux
03:07
View Lyrics
9
Now You Know (feat. Q Chief)
03:15
View Lyrics
10
Unaniweza
03:52
View Lyrics