UKOMBOZI - Epic Version (feat. Tiggs Da Author)

by Thunderdrum, Tiggs Da Author, Assassin's Creed

Lyrics : Alex Cameron Ward/Hugo Alexander Brijs Goggin/Felix Rebaud-Sauer/Adam Simon
Music : Alex Cameron Ward/Hugo Alexander Brijs Goggin/Felix Rebaud-Sauer/Adam Simon
Ukombozi
Muda wa Ukombozi
Ukombozi
Nisamehe kwa makosa niliyofanya
Kisasi tulipize
Nitaingia gizani sinahofu mimi ni mwnaume
Mimi ni mwanaume
Mimi ni mwanaume
Nisamehe kwa makosa niliyofanya
Kisasi tulipize
Moto
Tunapeleka moto
Moto kwenye upepo
Tunapeleka moto
Tunapeleka moto
Moto kwenye upepo
Tunapeleka
Ukombozi
Muda wa Ukombozi
Ukombozi
Ukombozi
Muda wa Ukombozi
Ukombozi
Nisamehe kwa makosa niliyofanya
Kisasi tulipize
Nitaingia gizani sinahofu mimi ni mwnaume
Mimi ni mwanaume
Mimi ni mwanaume
Nisamehe kwa makosa niliyofanya
Kisasi tulipize
Moto
Tunapeleka moto
Moto kwenye upepo
Tunapeleka moto
Moto
Upepo
Moto
Moto
Tunapeleka moto
Moto kwenye upepo
Tunapeleka
Moto
Tunapeleka moto
Moto kwenye upepo
Tunapeleka
Ukombozi
Muda wa Ukombozi
Ukombozi
Ukombozi
Muda wa Ukombozi
Ukombozi
Ukombozi
Muda wa Ukombozi
Ukombozi