Hapa Kati
by Kassim Mganga, Ay Masta
Lyrics : Kassim Mganga Hemed Music : Ambwene Yessayah/Kassim Mganga Hemed Verse 1 We Ndo Malikia Ghetto Piga Tikitaka Tikitaka Tobo Mmwaaah You Make Me Feel Special Chakachua Chakachua Usinichakachue Maaaah She Is Mine Kama Ameniroga Tete Kuwanga Nga Nga One Shot For Tikila Usilewe Tilalila Game Tatu Bila Mtamu Ka Vanila Kiuno Catapila Zungusha Susumila Miko Ya Kimila Drama Cinderela You So Amazing Baby Yolalaah Am Your Champion Dady Kisura You So Amazing Baby Yolalaah Am Your Champion Dady Kisura(Kisuraaah) Chorus(Hapa Kati Hapa Kati/Hapa Kati Kutamu) Verse 2 Mtoto mzuri mteke-teke Miksa moyo wangu uteke Na popote nipeleke right (niamini) Siongei sana mi nafanya Naona ntavyokutawanya Nje Ndani usiku mchana tight (nakuamini) Kama uzuri basi (You run Tingz) Game kama iko tight (I'm in) Kitandani mpaka kwa Busati (I'm goin in) Kama mgonjwa basi umegyet (medicine) Unaweza handle penzi la rude bway Double shots za AY Boom Diddy Bye Bye (Gyal) Mi napush mzigo proper reply Vuta waya tule Kaya tuwe high Talk to Mi Gyal Chorus/ (hapa kati hapa kati/hapa kati kutamu)
Share these lyrics
1
October Tunatik
03:46
View Lyrics
2
Safari
03:11
View Lyrics
3
Ndoa Ndoano
05:36
View Lyrics
4
Bogojo
02:50
View Lyrics
5
Samia Tanga
03:20
View Lyrics
6
Pambe
03:35
View Lyrics
7
Samia Suluhu (Haiwezekani)
03:49
View Lyrics
8
Wanakukuta
03:57
View Lyrics
9
Halali
02:58
View Lyrics
10
Tanga
03:20
View Lyrics